Kufunua Mfumo Mahiri wa Wavuti katika Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara

Nchi 10, Washirika 10, Dhamira Moja: MFUMO JUMUISHI WA VETI Ufundi stadi wa KIDIGITALI.

Kuimarisha ujuzi wa kidijitali na ujasiriamali

01

Kuwezesha Taasisi za Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET)

02

Kujenga mashirikiano thabuti kati ya Mitandao ya Elimu ya Ulaya na Kusini mwa Jangwa la Sahara

03

Kukuza ujifunzaji wa kidijitali ulio jumuishi na wa kiwango cha juu

04

Mfumo wa Uwezo.

Ramani za ujuzi wa baadaye

Inatoa mwongozo wa vitendo na unaoweza kuendana na mazingira, kuhusu uwezo unaohitajika ili kushiriki kikamilifu katika enzi ya Wavuti 4.0

Kozi ya Kidijitali na Kituo cha Ujifunzaji Mtandaoni

inatoa rasilimali za ufunzaji, moduli shirikishi, na zana za tathmini ili kusaidia ujifunzaji bora na ushiriki

Mkoba wa Zana za Kidijitali

Kwa Wakufunzi na Wanafunzi wa mafunzo ya stadi

Inaongoza waalimu wa VET katika kuingiza kwa urahisi Wavuti 4.0 pamoja na teknolojia mbalimbali zinazojitokeza katika mbinu zao za ufundishaji na mafunzo

Tungependa kuunganishwa nawe kupitia mitandao ya kijamii!

Fuatalia kurasa zetu rasmi za mitandao ya kijamii ili kupata taarifa kuhusu miradi yetu mipya, habari, na matukio

Facebook

Instagram

YouTube

LinkedIn

Habari na Mambo Muhimu ya Hivi Karibuni

Habari Mpya: Maendeleo, Ubunifu na Athari Yetu

Nothing Found